FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Hizo zote (Barca na Man Utd) zipo kwenye top 3 kiuchumi na hata ukubwa katika historia na makombe kimpira wapo samamba vilevile (zote ni team kubwa kiuchumi, fanbase na makombe)

Mfano wa hizo team hauwezi kusimama kati ya Yanga Sc na Tripol.
Acha kupindisha.
Manchester united ni timu tajiri kuliko Barcelona.
Ukiitoa Real madrid na Man city.
Barcelona ni timu yenye uchumi wa kawaida na sasa hivi umeporomoka toka kuingia kwa Corona 2019.
Ila Barcelona ni timu kubwa kihistoria na kimakombe kuliko Manchester United.
IKiwa ina makombe mengi ya ligi na ikiwa na makombe matano ya Uefa.
Tuje kwa Yanga na Tripoli.
Nani ana viwango vikubwa vya CAF!??
 
Wapi wapi? Tuko 6 hiyo 1 mpaka 5 tulishavuka huko.
6 umemfunga nani?

CBE ni chuo sio Club ya mpira labda kama wewe hufuatilii Campus za vyuo vya hapa Bongo vilizopo nje, na pamoja na hivyo bado mkapewa wa first year.

Yani mnatembelea dusko tu.

Msimu wa juzi mkiwa kwenye hii michuano hamkuwahi kupangwa na timu yenye intensity yenye hadhi sawa na Al Tripoli.

Mmekuwa mkipangwa na vitimu vya ajabu ajabu mara Bamako, na wale Wazaramo wa Afrika Kusini walioshuka daraja (jina nimelisahau)

Na ndio maana wakati wenu yaliitwa mashindano ya losers kulingana na washindani ambao walikuwa wanashiriki.

Mpaka CAF wakafikiria kuyafuta.

Almanusra CAF wafute mashindano mazuri kwasababu ya vibonde wachache waliojikusanya kama organization ya Kikoba.
 
Back
Top Bottom