Acha kupindisha.Hizo zote (Barca na Man Utd) zipo kwenye top 3 kiuchumi na hata ukubwa katika historia na makombe kimpira wapo samamba vilevile (zote ni team kubwa kiuchumi, fanbase na makombe)
Mfano wa hizo team hauwezi kusimama kati ya Yanga Sc na Tripol.
Manchester united ni timu tajiri kuliko Barcelona.
Ukiitoa Real madrid na Man city.
Barcelona ni timu yenye uchumi wa kawaida na sasa hivi umeporomoka toka kuingia kwa Corona 2019.
Ila Barcelona ni timu kubwa kihistoria na kimakombe kuliko Manchester United.
IKiwa ina makombe mengi ya ligi na ikiwa na makombe matano ya Uefa.
Tuje kwa Yanga na Tripoli.
Nani ana viwango vikubwa vya CAF!??