FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Wewe piga kelele kama mwendawazimu ila hiyo Simba kwa inavyocheza haifiki popote pale.
Huwenda mkamaliza hata watatu kwenye kundi mtakalopangwa.
 
Kuna mtu yupo bize hapo juu anaibeza yanga……….. watu bn

Huwezii ukawa mzimaa
 
Tunataka kuwaona wakirudi vile vile kama walivyokuja na escort za mabaunsa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚dah mds ni jibu zuri sana .mkubwa ana shangilia shirikisho kama kafika fainal kumbe ni group stage asee kama sio nyie
 
Al ahly tripoli ni ndogo kwa Yanga tena saanaaa.
Sawa na hiyo Man United ukiipanga katika timu kubwa top 5 haiingii.
Man United imebaki kuwa timu tajiri tu ila ukubwa haina tena.
 
Mbona umepanic sana jomba, maelezo yamekuwa mengi sana. Sawa sisi tumecheza na first year. Nyinyi kucheza na AI hii vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…