FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Yani daah nimeamini Simba na Yanga ni uadui...
Ila Nawapenda watani zangu kina
Bantu Lady KENZY Vincenzo Jr ephen_ na wengine πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tunakupenda pia mtani wetu mrembo Kalpana πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯° hongereni kwa ushindi wa leo. Madunduka FC πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Shida mmekariri timu zenye majina makubwa ila sio ubora wa timu, na mwishoni mkaona kama Yanga inawafunga wabovu. Lakini msimu uliofuata Yanga kaendeleza hayo hadi kwenye klabu bingwa kwa kupenya mbele Belouizdad tena kwa kufungwa goli 4.
Timu gani yenye jina dogo iliyokuwa na kiwango kikubwa ambayo mlicheza nayo.

Naomba unijibu hili swali ukiwa na mshipa wa aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…