Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mimi yanga mkuu hamjacheza na yangaHicho kilichowatandika bao za kutosha hadi mengine mmeyafanyia hujuma yakatoweka🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi yanga mkuu hamjacheza na yangaHicho kilichowatandika bao za kutosha hadi mengine mmeyafanyia hujuma yakatoweka🤣🤣🤣
Hahaha, ndio ushabiki ulivyo mkuuGhafla Al Ahly Tripol atageuka kuwa kibonde na Mabululu atakuwa mchezaji wa hovyo sana.
Yaani hata CBE ataonekana ni mzuri kuliko.😂
Mimi sijaanzisha uzi
Kalpana mbona unasumbua watu tumelala..?Yani daah nimeamini Simba na Yanga ni uadui...
Ila Nawapenda watani zangu kina
Bantu Lady KENZY Vincenzo Jr ephen_ na wengine 😀😀😀😀😀
Nilitaka mjeee...bila nyie mimi siona rahaaa😃😃Kalpana mbona unasumbua watu tumelala..?
Al Hilal Tripoli yupo kwenye database za CAF ila C.B.E hayupoMbona umepanic sana jomba, maelezo yamekuwa mengi sana. Sawa sisi tumecheza na first year. Nyinyi kucheza na AI hii vipi?
mi nimelala niache nitulize kizazi..😅Nilitaka mjeee...bila nyie mimi siona rahaaa😃😃
Tunakupenda pia mtani wetu mrembo Kalpana 🥰🥰🥰 hongereni kwa ushindi wa leo. Madunduka FC 😅😅😅😅Yani daah nimeamini Simba na Yanga ni uadui...
Ila Nawapenda watani zangu kina
Bantu Lady KENZY Vincenzo Jr ephen_ na wengine 😀😀😀😀😀
Kweli kabisaaa tulia haswaa..wifi apate vitu vya uhakika...😃mi nimelala niache nitulize kizazi..😅
nawe ukalale sasa uache vurugu kaka yangu apate nae chochote kitu..😅Kweli kabisaaa tulia haswaa..wifi apate vitu vya uhakika...😃
Yan moyo haujatulia kwa furaha nadhani hapatafanyika kitu leo.....😃😃😃😃nawe ukalale sasa uache vurugu kaka yangu apate nae chochote kitu..😅
Asante moderators. Haki imetendeka. Tupumnzike ujinga. Watunza risiti Pdidy hakuahidi?
Hongera sana mtani wangu tukutane makundi tuendelee kula hela za mama Samia 😎😎Yani daah nimeamini Simba na Yanga ni uadui...
Ila Nawapenda watani zangu kina
Bantu Lady KENZY Vincenzo Jr ephen_ na wengine 😀😀😀😀😀
Timu gani yenye jina dogo iliyokuwa na kiwango kikubwa ambayo mlicheza nayo.Shida mmekariri timu zenye majina makubwa ila sio ubora wa timu, na mwishoni mkaona kama Yanga inawafunga wabovu. Lakini msimu uliofuata Yanga kaendeleza hayo hadi kwenye klabu bingwa kwa kupenya mbele Belouizdad tena kwa kufungwa goli 4.
Na mm nilimuwaza...watu wenye matokeo yao kichwani...Asante moderators. Haki imetendeka. Tupumnzike ujinga. Watunza risiti Pdidy hakuahidi?
talaka yako naomba kuwe na saini yangu pia ili niisaini vyema uende kwa ubaya ubwela...🤣Yan moyo haujatulia kwa furaha nadhani hapatafanyika kitu leo.....😃😃😃😃