FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Uzuri kaduguda aliwahi kusema shirikisho wanacheza wanawake, Semaji lenu Ahmed alisema shirikisho wanacheza loosers sasa muamue tuwaite loosers au wanawake,
Hilo shirikisho ndio liliwapatia pointi nyingi tofauti na Simba waliopata. Point nyingi kwenye club bingwa.
 
Caf walishangaa timu mbovu imewrzaje kufika fainali ndio maana wakasema timu ikitolewa club bingwa itokee moja kwa moja.
 
Al ahly tripoli ni ndogo kwa Yanga tena saanaaa.
Sawa na hiyo Man United ukiipanga katika timu kubwa top 5 haiingii.
Man United imebaki kuwa timu tajiri tu ila ukubwa haina tena.
Kabla ya hii michuano ya mwaka huu kuanza kirank walibya walikuwa juu.
 
Usiku mwema wapendwa..
Tulale na hii
Hapo kwenye hizo timu ongezea Alhal Tripol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…