FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Hakuna jinsi
Ubaya ubwela
Wana yanga wote popote mlipo naomba tuungane wote kwa pamoja kuishangilia timu ya

Al ahly Tripoli hii ndio timu yetu kule Libya

Ubaya ubwelaaaaa
 
Kila la kheri mnyama simba 🦁🦁
 
Kama Simba itaingia na ile spirit walioingia nayo kwenye mechi ya mwisho vs Yanga, wanaweza wakashinda hii mechi.
 
Ni jambo zuri kuwa mzalendo lakini leo sitaki kuwapa moyo kinafiki watani wangu kwa sababu kitakachowapata nimeshakijua
 
Nilikua naogopa ban lakini umeniwakilisha kwa uliyoyasema...
 
Karibuni sana watani zetu utopolo wazee nyuma mwiko, muangalie burudani la maana. Sio nyie mnacheza na wafungwa wale wazamiaji tulowakamata katika malori kule mfindi eti nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…