Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Nikiwa Mtanzania mwenye asili ya kiarabu tokea pale Tripoli Libya. Nawaombea ushindi timu yetu Al Ahly Tripoli ushindi. Hao wengine lolote liwakute. Uzuri tutazika hapahapa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukipewa Mabululu na Onana unaondoka na nani!?? 😃Hamna kitu humu, mnamkuza tu.
Bora hata yuke striker wao aliyeingia kipindi cha pili, lakini huyu muda wote aliyecheza alikuwa kama abiria tu tena ambaye hata nauli hajalipa bali amepewa lift.
Tupo pamojaNikiwa Mtanzania mwenye asili ya kiarabu tokea pale Tripoli Libya. Nawaombea ushindi timu yetu Al Ahly Tripoli ushindi. Hao wengine lolote liwakute. Uzuri tutazika hapahapa...
Umetusaliti wabantu .Nikiwa Mtanzania mwenye asili ya kiarabu tokea pale Tripoli Libya. Nawaombea ushindi timu yetu Al Ahly Tripoli ushindi. Hao wengine lolote liwakute. Uzuri tutazika hapahapa...
All the best kwa Mnyama Mkubwa Mwituni
Kwani hupendi tushinde b...? LolKwa maana hiyo unasema unapenda nikiumia b…? Sawa.
Kwa nin ?Azam tv wanadai hawaonyeshi
🤣🤣🤣🤣Hizi takataka zilizo omba caf zipangiwe matimu mabovu ili wapite kirahisi wanatuchukia..ndio maana timu yao inawakilishwa na rangi ya mavi (njano ni mavi ya binadamu na kijani mavi ya ndege)
Wana roho mbaya,wachawi na akili zao ni za kimavi mavi na kipuuzi
BalaaHizi takataka zilizo omba caf zipangiwe matimu mabovu ili wapite kirahisi wanatuchukia..ndio maana timu yao inawakilishwa na rangi ya mavi (njano ni mavi ya binadamu na kijani mavi ya ndege)
Wana roho mbaya,wachawi na akili zao ni za kimavi mavi na kipuuzi
Ukipewa na nani? Tuanzie hapoUkipewa Mabululu na Onana unaondoka na nani!?? 😃