magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Usikute umeinuka kushangilia.Hivi kweli KIBU DENNIS, simba iliishiwa maarifa hadi kumbembeleza abaki ....
Baada ya kumpoteza CHAMA , simba ina struggle sana kupata ubunifu....
Utaona jinsi ATEBA anavyoteseka kupewa pasi za maana..
Maisha bila unafiki hayaendi.