FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Kwa nini fowadi za simba hazikimbii ikitokea nafasi ya counter....au ni macho yangu
 
Kwahivyo simba akitoka moja moja inakuwaje....mgeni hafuzu?
Au utapiga matuta hii kitu unanichanganya nieleweshe mkuu
Moja Moja, Simba tunaondoshwa anafuza mgeni.
Ni hivi hii Sheria inatumika pale mnapokuwa mmetoa sare ya magoli. Kama ni bila bila mnApogiana penalti. Na kama mmefungana magoli idadi sawa pia mnApigiana penalti.

Mfano Tripoli angeshinda 1 bila kule kwao na huku Simba akashinda 1 bila , jumla ingekuwa 1- 1, tungepigiana penalti.

Tripoli angeshinda 1 bila kwao, na hapa Tz Simba angeshinda 2 - 1, jumba ingekuwa 2-2, angefuzu Tripoli, kwani yeye angekuwa amepata goli Moja kwenye ardhi ya ugenini, huku Simba akiwa hajapata goli kule ugenini.
 
Back
Top Bottom