zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
mkuu ukubwa wa mshahara haufanyi timu kuwa kubwaKabla ya kuibeza Tripol, nimekuuliza hapo Yanga Sc (team unayodhani ni kubwa sana kuliko Tripol), mshara wenu mkubwa kwa mchezaji ni bei gani?
nenda man u uone watu wanavyo lipwa na kiwango chao kikoje