FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Kabla ya kuibeza Tripol, nimekuuliza hapo Yanga Sc (team unayodhani ni kubwa sana kuliko Tripol), mshara wenu mkubwa kwa mchezaji ni bei gani?
mkuu ukubwa wa mshahara haufanyi timu kuwa kubwa

nenda man u uone watu wanavyo lipwa na kiwango chao kikoje
 
Back
Top Bottom