Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unatakaje?
Kweli kabisaAnachokifanya Kocha leo ndio kilizitoa team nyingi kubwa kule AFCON.
Ukiwa mbele kwa mogoli mara nyingi utawaza kujilinda kwa kufanya sub, wakati team iliyo nyuma itajaribu kuongeza washambuliaji ili kupata goli.
Ikitokea team iliyoko nyuma imesawazisha maana yake hautaweza kutafuta goli tena kwasababu umejaza walinzi tu kwenye team yako.
Ikitokea ubao umesoma 2-2 hata kwa bahati mbaya hapo, Simba Sc haitakuwa na uwezo wakutafuta jingine.
Mpaka sasa hii game kaiharibu kocha mwenyewe.
FADLU NI MJINGA SANA.
Limefutwa eti offside. Dah Huyu kibendera amepuyanga pakubwa
Lia wewe hakuna aliyekuzuia...Hivi mashabiki wa Simba mpo siriasi kweli, mnafurahi hadi inatoka mishipa ya shingo eti kisa mnafuzu kuingia SHIRIKISHO
Ni upuuzi kuangalia mechi za kiafrika na waamuzi hawa wa kiafrikaLimefutwa eti offside. Dah Huyu kibendera amepuyanga pakubwa
Vyura kelele nyingi sanaMashabiki wa Yanga asilimia 90 sio Humu JF hata mitaani hawana utulivu wa akili yaani Madishi yameyumba 🤣🤣🤣
Walitafute kwenye rasta za kibu huenda limekwama huko😀😀😀Makolo hawaamini goal la 3 limeenda wapi 😜