FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Anachokifanya Kocha leo ndio kilizitoa team nyingi kubwa kule AFCON.

Ukiwa mbele kwa mogoli mara nyingi utawaza kujilinda kwa kufanya sub, wakati team iliyo nyuma itajaribu kuongeza washambuliaji ili kupata goli.

Ikitokea team iliyoko nyuma imesawazisha maana yake hautaweza kutafuta goli tena kwasababu umejaza walinzi tu kwenye team yako.

Ikitokea ubao umesoma 2-2 hata kwa bahati mbaya hapo, Simba Sc haitakuwa na uwezo wakutafuta jingine.

Mpaka sasa hii game kaiharibu kocha mwenyewe.

FADLU NI MJINGA SANA.
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom