FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Shirikisho ndo iliwapa point mkapandapanda leo hii unataka kusemaje?

Tunajua maombi yenu ilikua ni Simba atoke asiende Makundi muanze kumsifia Eng wa mchozo

Ni kichaka gani Mlichofyeka?
Kwani mimi nimedharau shirikisho??
Anayefika mbali Klabu bingwa na aliye shirikisho nani hukusanya point nyingi!??
Ndio ilitupa point na kufyeka kichaka cha ninyi kufika robo fainali sisi tukafika fainali.
Na tumefyeka kichaka cha ninyi kufika robo fainali klabu bingwa.
Na ninyi kama mnajiweza fyekeni kichaka cha sisi kufika fainali shirikisho.
 
Wazee wa shot on target mbona siwaoni wakianzisha nyuzi za mada yao pendwa?
 
Unawezaje kutaja mbele ya watu wazima eti na mimi nashiriki shirikisho.... ni aibu tupu .

Sifa ni ile ile haibadiliki ni Kombe la watu waliofeli "Futuhi Cup"
Kinachofanya Milembe iitwe hospitali ya vichaa sio jengo ni aina ya watu ambao wana matatizo ya akili.

Sasa siku watu hao wakahamishwa kwenda sehemu nyingine halafu hapo wakawa wanafanya shughuli nyingine za matibabu ya kawaida.

Huwezi kuendelea kuiita hiyo sehemu ni hospitali ya vichaa, utachekwa na we ndio utaonekana kichaa.
 
We jamaa huwa unakunywa matap tap ama nini!??
Aya lete takwimu zako Yanga bingwa mara ngapi.
Yanga bingwa mara 30 kataa kubali.
Kama una uthibitisho pinga.
 
Japo wameshinda bila cleansheet lazima tuwapongeze ndugu zetu wanasimba Kwa kuubonda mpira pale Kwa mkapa lazima tuwe wazalendo linapokuja suala la kimataifa

Pongezi kubwa ziende Kwao ingawa naona safari yao itaishia hapa makundi[emoji23][emoji23]

Lakini tusisahau ...kipimo cha Simba kwenye kombe la wamama (shirikisho) ni lazima ifike final kama Yanga ,....au ibebe ubingwa

NB: maisha bila Jf .... unaweza ona siku ni kama mwezi[emoji23][emoji23]
1727156993404.jpg
 
Mara baada ya kula ban...sisi tulikuwa tunataka uweke ahadi ya kutoa mali yako isiyohamishika tu turuke na wewe
 
Back
Top Bottom