KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Simba Nyamaume lazima ipigwe nyingi
[emoji23][emoji23][emoji23]kinyoge sanaMungu ibariki Simba Sc....
Timu tunayoipenda sanaa...
Tuko nayo mpk kuchwee...
Me naamini simba watacheza Vizuri kma hawatapangiwa na mamelod leo saa Saba..Hawatashinda hakika.
Usilazimishe mawazo yako ya kinyonge kwa kila mtu braza...[emoji23][emoji23][emoji23]kinyoge sana
Ili tuoneshe kuwa hatutaki masikhala Singida adondokewe kama anavyodondokewa na kunyakuliwa kifaranga na mwewe huku macho na masikio yakiwa kwenye draw CAFCL QFMnyama anaendelea kupasha kujiandaa na draw na CAFCL QF.
Prison wanahela gani?Singida hawana nguvu ya kipesa pesa zote zimeamishiwa ihefu fc swala la kufungwa liko pale pale