FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

hizi ndo match, saudio anafunga 5 goals. nakuwa mfungaji bora. typical corruption goals
 
Hiyo timu hamuhusu Nchemba,Ihefu ndiyo next Singida
Singida Fountain Gate iliitwa hivyo baada ya Singida United ya Mwigulu kuungana na Fountain Gate walio na timu ya wanawake ili Singida apate kibali cha kucheza mechi za CAF, ndio akashiriki shirikisho.

Tambua CAF bila kuwa na timu ya wanawake huwezi kushiriki mashindabo yao ya wanaume, ligi ya mabingwa Afrika na shirikisho.

Hivyo kuanzia sasa futa hiyo habari ya Ihefu na Mwigulu kwenye kichwa chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…