FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

Simba waongeze jihad,speed na nguvu.Pia wasajili wachezaji wa maana,timu bado dhaifu.Wasione wanashinda kwa hizi timu zilizojifia wakaona wamemaliza.
Ushauri kama huu na jana uliutoa?

Au kwako Kitale....eti Kitale tena kumradhi nilikuwa namaanisha Vitalo, kwako unawaona ni timu ambayo haijajifia?

Hizo 4 zimeingia kavu wakiwa wote wametimia

Sasa kuna timu jana wao walikuwa 12 wakati wenzao wako 8

Yeah ni 12 sema watu wanapoielezea mechi ya jana wanamsahau sana yule mchezaji aliyeingia na filimbi.
 
Timu yetu inaimarika taratibu, hatuna pressure 🦁🦁
 
Mpaka Sasa goli 7 na point 6 kibindoni..

Napiga story hapa na wadau wa Simba wanasema huu mwaka Raha na ushindi ni mwendo wa kuwapiga misumari mpaka wakome..
 
Hii ni sawa na kukimbiza kuku mwenye kideli kisha ujisifu kuwa una mbio
 
Tajiriiiiiiiiii 😹😹😹
Unagawa pesa kwa mademu zako halafu unavujisha convo safi sana πŸ˜‚πŸ˜‚
Elezea vizuri kwenye uzi separate tukusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…