Match Day
Leo, Mnyama Simba SC atakuwa dimba la KMC Complex akicheza na Kilimanjaro Wonders, mechi raundi ya tatu CRDB Bank Federation Cup.
Mnyama amesema mechi hii ni ya kuwapongeza wachezaji wao kwa kutinga robo fainali ya CAF CC.
View attachment 3214580
Hiki hapa kikosi cha Simba SC
View attachment 3214775
Kikosi cha Kilimanjaro Wonders SC
View attachment 3214797
Kipindi cha kwanza kimeanza
1' Simba SC 1-0 Kilimanjaro Wonders SC
1' Goooal Valentino Mashaka anafunga goli
2' Goooal Ladack Chasambi anafunga goli
9' Goooal (OG) - Kilimanjaro Wonders wanajifunga kupitia mchezaji wao Patrick Sebastian
14' Mechi imesimama, golikipa wa Kilimanjaro Wonders anapatiwa matibabu.
15' Mechi inaendelea…
21' Gooal Joshua Mtale