FT | Simba SC 6-1 Mighty Wanderers (Agg: 7-1) | CCL - Simba Kafuzu Round 1 kwa kishindo | Uhuru Stadium | 13.9.2026

Kocha wa Simba kakaa muda gani kuifundisha timu yake vs kocha mpya wa Yanga? Unasema Yanga kaifunga Simba basi tu je kwa kutumia kielezo kipi ikiwa Simba walipata short on target moja tu tena dakika za mwishoni mwa mchezo? Vipi kuhusu possession? Embu nipe kigezo cha kusema hiyo kauli yako unatumia ulinganisho upi?

Kuhusu swala la kiwango huwezi kusema kuwa timu imecheza kiwango bora pasipo kuangalia strength and weakness ya mpinzani wako. Unaweza kuniaambia hawa wapinzania wa Simba wameonesha strength ipi dhidi ya Simba?
 
Huyu DUMBIA wenzake wakiwa wanafunga yeye anakuwa wapi?
Au kazi yake kupongeza wanaofunga?
Kijana wangu hapa ananiambia au Doumbia ana shida ya macho?
Mbona kama vile haoni mpira? 🤣🤣🤣
 
Kwahiyo tumerudi kushangilia mpira rasmi
Wale wajinga walitaka kupangia watu maisha
 

Unaelewa suala zima la burudani lakini?
Wewe unaongea kitaalam sana na huko nawaachia wachambuzi wenzio.

Timu ya jana tumecheza nayo ipo nafasi ya ngapi kwenye viwango vya soka? Na hua wanatumia vigezo gani?

Yanga imebadili makocha kadhaa hapa kati kati kwenye teansition akiwepo msomali, unaweza kuielezea vipi hiyo athari kwenye perfomance ya Yanga?

Anyway, nikiwa kama layman, tukiweka pembeni magoli, Simba wamecheza mpira.
 
Mpira na SWAT sijui SWOT wapi na wapi.
Ukweli lazima usemwa, na usindikizwe na ushahidi. Kwa yanga kumfunga vigoli viwili timu kimeo kama Gaberone united- tena kagoli ka bahati -inadhihirisha yanga ni wachovu pro maxxxx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…