Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,673
- 9,710
Kama Yanga ni wachovu, inakuwaje kila siku wanaifunga Simba?Mpira na SWAT sijui SWOT wapi na wapi.
Ukweli lazima usemwa, na usindikizwe na ushahidi. Kwa yanga kumfunga vigoli viwili timu kimeo kama Gaberone united- tena kagoli ka bahati -inadhihirisha yanga ni wachovu pro maxxxx
Amesajiliwa ili kutumikia timu, kukosa magoli ni sehemu ya mchezo.Na sijui kwanini mashaki hua wanamshangalia dumbia au ni sehem ya unafiki
Anamuongezea kujiamini ili abaki mchezoniSasa Berker huwa analazimishwa kumchezesha Doumbia???
Achukue goli zake 7 kisha arudie shit zake.Before 1st leg...kocha wa MUGHTY aliongea shit kuhusu simba...kuwa hawatishi
Kocha ndiye anaye amua nani acheze wakati gani.Tushangae pamoja.
Why Mgunda always Benchi?
Simba isiyo na timu imempiga mtu goli 6 bila kupiga watu ngumi.Kabisa. Naona hii match ngumu sana kwao. Na simba hawana team
Kama Yanga ni wachovu, inakuwaje kila siku wanaifunga Simba?
Watu wa aina gani hao waliofungwa 6?Simba isiyo na timu imempiga mtu goli 6 bila kupiga watu ngumi.
Aisee wewe ni mbumbumbu juzi tulipokutieni moja umepata shots on target 1 ndani ya dakika 90Inakuwaje CCM kila siku inashinda uchaguzi?
Jana uliona kosa la Mighty Wanderers kutaka kupishana na SimbaHahaha kweli bwashee
Hakika bwashee, wazee ni hazina kubwa
Duuuuuuh
Hahaaaa...Duuuuuuh