FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

Kwakuwa simba ina wachezaji wanne tu sio ?

Viazi Pori Wengi Tu Hao Baadhi Nimekutajia, Hivi Wewe Ukimtoa Huyo Chama Mnaemuimba Kila Uchwao Kuna Nn Tena Hapo….Kazi Imekwisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe mwenye wachezaji wazuri upo kwenye mashindano gani?

Mimi Nimejisifu Yanga Kuna Wachezaji Wazuri?, Mimi Nakushangaa Wewe Unaesema Eti Kufungwa Nyie Leo Hilo Haliwezekani Wakati Wachezaji Wenu Quality Ya Kawaida Na Wengine Quality Ndogo Kabisa Mmoja Wapo Ni Mzamiru.
 
Nimechungulia vibuyu nimeona Mnyama akitamalaki nyumbani kwa ushindi mnono wa mbili bila
Hivyo vibuyu ni pasua... Sindio vilikudanganya kuwa jezi nyeusi za yanga ni nzito 😅😅...
 
Mpira wa miguu ni mchezo wa wazi, na unachezwa kwa dakika 90. Atakayecheza vizuri atashinda. Atakayefanya makosa, ataadhibiwa.
Hujataka kutoa povuuu au unaweka akiba ya manenoo??
Mbna km hujiamini shouzzz akeee. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…