Yaan anahaha had anasahau kuwa team yake leo inacheza na muarabu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daahh..kaka unahangaika na Simba yaani Toka Jana unasema Simba ameshinda kibahati Bahati ,punguza baasii wivu na chuki hata km huipendi Simba wamefanya vzr na hakuna goli la bahati mbaya
Man U walipigwa Saba na Liver utasema nao walikua na mgomo?
Simba wameshinda Kwa kua wamestahiki brooo...leave that chuki,pole Sana sijui km ulilala usiku wa kuamkia leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahAah wala malimao wana tabu sana
Yaani sijui kama kalala Toka Jana anahaha tu masikini mpk huruma eti mgomo hakuna magoli ya vile mweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kahangaike na horoya wako huko, sisi haituhusuuu.
Alibet huyu lazima apagawe thathaa....!!!Yaan anahaha had anasahau kuwa team yake leo inacheza na muarabu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kavurugwaa mbayaaaa.
Nipo Mtani. Hahahahaaaa. Eti lidude likuuuuuuubwaa. Lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaniiiiiii upooooooo???? Umeiona simba? Lidude likuuuuubwaaaaaa.
hivi berkane wanajisikiaje huko waliko!Chama anaenda kuwa mchezaji bora wa wiki kwa mara ya pili mfululizo - Gretatea Of All Time
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kavurugwaaa had baas, uwiiiihYaani sijui kama kalala Toka Jana anahaha tu masikini mpk huruma eti mgomo hakuna magoli ya vile mweee
Kama rahisi na yeye SI akadake hivi sidhani km alikula
Nadhani alibet mkeka umechanika
Mtapata usijariii, nawaombea kheri.Nipo Mtani. Hahahahaaaa. Eti lidude likuuuuuuubwaa. Lol
Nawish na sisi leo tupate matokeo.
Halafu anakuja jamaa mmoja huko ameshiba ugali wa kwa shemeji yake..anasema Yangaa inaenda kuvunja rekodi za Simba..daah.CAF uvumilivu umewashinda hawajasubiri hata kukucheView attachment 2557194
Limejaa hadi yanamwagika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2557413
Hahahah[emoji23]Bora wale magolikipa waliamua wapokezane..Saba kwa golikipa mmoja angapata ukichaa
Walishindwa kuvunja naniliu mengine wataweza!? [emoji23]Halafu anakuja jamaa mmoja huko ameshiba ugali wa kwa shemeji yake..anasema Yangaa inaenda kuvunja rekodi za Simba..daah.
Huyo ni wale jamaa wasiotaka kushindwa najua unajua characteristics zao..sitaki kuzisema humu..Yaani sijui kama kalala Toka Jana anahaha tu masikini mpk huruma eti mgomo hakuna magoli ya vile mweee
Kama rahisi na yeye SI akadake hivi sidhani km alikula
Nadhani alibet mkeka umechanika
Sipati picha unavyorusha mate hapo japo unatype π π π πwalihaidiwa na hawaja pewa, mbaya zaidi wakageukwa
horoya wa kumkazia raja kwao aje apigwe 7 na huyu nyau wa kuunga unga hushangai
Wako mafichoniSipati picha unavyorusha mate hapo japo unatype [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Wenzako wamekuacha wameona unaenda kuchanganyikiwa muda si mrf...
,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] we mganga hatimae nimeamka.Sidhani kama utaamka