FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

FT: Simba SC 7-0 Horoya AC | CAF Champions League | Benjamin Mkapa | 18.03.2023

Daahh..kaka unahangaika na Simba yaani Toka Jana unasema Simba ameshinda kibahati Bahati ,punguza baasii wivu na chuki hata km huipendi Simba wamefanya vzr na hakuna goli la bahati mbaya
Man U walipigwa Saba na Liver utasema nao walikua na mgomo?
Simba wameshinda Kwa kua wamestahiki brooo...leave that chuki,pole Sana sijui km ulilala usiku wa kuamkia leo
Yaan anahaha had anasahau kuwa team yake leo inacheza na muarabu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kavurugwaa mbayaaaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kahangaike na horoya wako huko, sisi haituhusuuu.
Yaani sijui kama kalala Toka Jana anahaha tu masikini mpk huruma eti mgomo hakuna magoli ya vile mweee
Kama rahisi na yeye SI akadake hivi sidhani km alikula
Nadhani alibet mkeka umechanika
 
Yaani sijui kama kalala Toka Jana anahaha tu masikini mpk huruma eti mgomo hakuna magoli ya vile mweee
Kama rahisi na yeye SI akadake hivi sidhani km alikula
Nadhani alibet mkeka umechanika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kavurugwaaa had baas, uwiiiih
 
Yaani sijui kama kalala Toka Jana anahaha tu masikini mpk huruma eti mgomo hakuna magoli ya vile mweee
Kama rahisi na yeye SI akadake hivi sidhani km alikula
Nadhani alibet mkeka umechanika
Huyo ni wale jamaa wasiotaka kushindwa najua unajua characteristics zao..sitaki kuzisema humu..
Anapingana na ukweli wenzie wamemuacha adhalilike
 
Screenshot_20230318-223905_WhatsApp.jpg

Mwenye uwezo wa kuvunja hii rekodi aanze maandalizi aombe Mungu aanze mwaka huu asichelewe
 
Back
Top Bottom