cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Yaan anahaha had anasahau kuwa team yake leo inacheza na muarabu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daahh..kaka unahangaika na Simba yaani Toka Jana unasema Simba ameshinda kibahati Bahati ,punguza baasii wivu na chuki hata km huipendi Simba wamefanya vzr na hakuna goli la bahati mbaya
Man U walipigwa Saba na Liver utasema nao walikua na mgomo?
Simba wameshinda Kwa kua wamestahiki brooo...leave that chuki,pole Sana sijui km ulilala usiku wa kuamkia leo
Kavurugwaa mbayaaaa.