FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba imezidiwa. Imefika golini kwa Yanga mara 2, Yanga kafika mara 8

Halafu Simba ndio inaongoza ligi.

Kila Rais akija kucheki game za Simba huwa wanatobolewa tundu.
Pamoja na kufika golini mara 8 hawajaweza kufunga goli mpaka simba kujifunga

Kweli nimeamini panya wengi hawachimbi shimo
 
Tusubiri mkuu..muda upo,ingawa kuna Ka Hali Fulani hivi kamewakuta wachezaji wa Simba kupaniki kimya kimya

Wanaweza kuwashwa la pili,maana Hadi dakika hii tunakaribia mapumziko hawajacheza chochote cha maana
 
Motivono spikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Piiiiiiga hao mikiaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…