Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Pamoja na kufika golini mara 8 hawajaweza kufunga goli mpaka simba kujifungaSimba imezidiwa. Imefika golini kwa Yanga mara 2, Yanga kafika mara 8
Halafu Simba ndio inaongoza ligi.
Kila Rais akija kucheki game za Simba huwa wanatobolewa tundu.
Kweli nimeamini panya wengi hawachimbi shimo