FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Mpira dkk 90, the best Yanga watapata hapa labda wapate goli la pili, lakini goli moja mbele ya Simba bora wakumbuke tu matokeo ya ile mechi iliyopita na goli moja waliloongoza muda mrefu liliishia wapi.
 
16253239655983214515726236451382.jpg
 
Mi nimetoka banda umiza now niko home naskizia earphone tu, ila nahakika hii game simba inakwenda kushinda endapo nidhamu ya wachezaji itarejea

Kwasasa huwezi kupeleka lawama kwa kocha, sometimes unaona kabisa kua wachezaji ndio wanao liwisha. Jaribio la chama linaleta ahueni japo sio formation ya simba kucheza counter attack
Simba wamepigwa zongo wewe shtuka!😂😂😂
 
Back
Top Bottom