FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Arnold Schwarzenegger hakuliua kirahisi li predator, ilimlazimu aingie hadi kwenye tope na kuishi msituni ambapo alisongwa na majani ya upupu lakini mwisho wa movie star ni star tu
Leo mizungu inakutoka tu.

Hakuna namna😂😂
 
Ndio mzee baba.
Siunajua Azam wametufikia mpaka huku,.... Hapa niko Nanhupo,,, wa Tanzania tumejazana kama wote
daaa pamoja Sana mkuu wangu Ile Leo tukiacha ushabiki yanga wanacheza Mpira mzuri tatizo sisi hua tunaingia na matokeo uwanjani kitu inayotukost ila amini nzi akiacha ujinga atazalisha asali!
 
Twende kipindi cha pili.
Namuona Bwaliya anakata miuno, sijui kulikoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…