Kuna verse moja ya chid benz inasemaNaziona kila dalili za mwana Robo fainali Champions league kulilia kunyimwa penalti. 🤣🤣🤣🤣
Hawa maraisi wasiwe wanakuja kwny fainal za Simba na Yanga
Mkuu hapa ni tumekufunga goli moja tu. 🤣🤣🤣Kuna verse moja ya chid benz inasema
Sipigani nika ng'ata basi bora nikimbie, sing'angani kung'ata bali uwezo wangu ndiye.../
Mmmeannnzaaa. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Goli la kiganga baya kama mtoto wa kiganga wanashindwa hata kushangilia
Toto lina MKIA hiloooo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787]First half tumesaminisha kwanza, sekandi hafu tunaoa kabisa
View attachment 1839009
😂Kufeni tu.
Kwani Nini yan
Mna miguu ya kunifunga nyie?Mkuu hapa ni tumekufunga goli moja tu. 🤣🤣🤣
Mbona scoreboard inasoma goli ni la Yanga?Mna miguu ya kunifunga nyie?
Umenifunga au nimejifunga?
Mpe leso huyo afute machozi.....Mbona scoreboard inasoma Yanga?
Jitulize mkuu ni mpira tu huu.