FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Naziona kila dalili za mwana Robo fainali Champions league kulilia kunyimwa penalti. 🤣🤣🤣🤣
Kuna verse moja ya chid benz inasema

Sipigani nika ng'ata basi bora nikimbie, sing'angani kung'ata bali uwezo wangu ndiye.../
 
Kuna verse moja ya chid benz inasema

Sipigani nika ng'ata basi bora nikimbie, sing'angani kung'ata bali uwezo wangu ndiye.../
Mkuu hapa ni tumekufunga goli moja tu. 🤣🤣🤣
 
Huyu Injinia anatuaibisha, inamaana hakusomaga engineering drawing??
 
Back
Top Bottom