FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Kwani tuliwaambiaje? Tuliwaambia nyie njoeni uwanjani ushindi wetu mtapewa nyinyi

Tunafunga sisi ushindi mnapewa nyinyi

Mkuu waache watambe hakuna namna wanaongoza na hako kagoli kamoja
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mbona unatoa macho kama kabudi, vipi, huamini unachokiona au...!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…