Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Wana hasira hawa😂😂😂😂😂
Mbona scoreboard inasoma goli ni la Yanga?
Jitulize mkuu ni mpira tu huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona scoreboard inasoma goli ni la Yanga?
Jitulize mkuu ni mpira tu huu.
Kwani tuliwaambiaje? Tuliwaambia nyie njoeni uwanjani ushindi wetu mtapewa nyinyiMbona scoreboard inasoma goli ni la Yanga?
Jitulize mkuu ni mpira tu huu.
Tatizo wameaminishwa hovyo na Manara. -🤣Mpe leso huyo afute machozi.....
Wakikomboa ndo utaona walivyoffurugwa.Wana hasira hawa😂😂😂😂😂
Kwani tuliwaambiaje? Tuliwaambia nyie njoeni uwanjani ushindi wetu mtapewa nyinyi
Tunafunga sisi ushindi mnapewa nyinyi
🤣🤣Mbwa ukimjua jina hakusumbui
Wamelishwa matango pori, machunguuuuu....ila hakuna namna... wakae kwa kutulia😂😂😂😂Tatizo wameaminishwa hovyo na Manara. -🤣
Kabisaaaa. Waliambiwa wanashinda kuanzia tatu sasa hapa wameshapagawa. 🤣🤣🤣Wamelishwa matango pori, machunguuuuu....ila hakuna namna... wakae kwa kutulia😂😂😂😂
Mbona unatoa macho kama kabudi, vipi, huamini unachokiona au...!?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Amekamia gameHuyu Morrison mbona hatoi pasi.?