Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaahaa Kuna mtu wa utopolo anatamba hapa eti Simba tutashinda kwenye marudio ya mechi Leo saa 4 usiku!
Daaaaaaa dhihaka Kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Piiiiga mikiaaaa hiyooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maiti kafufuka kang'ang'ania mkono wa muoshaji,Yanga ni maiti tu hata wakishinda.
Marehemu alidondokewa na jani la mchicha akafaMaiti kafufuka kang'ang'ania mkono wa muoshaji,Yanga ni maiti tu hata wakishinda.
Oya Bob[emoji1787][emoji1787], sio jukwaa lake hapaAfu wasi wasi na hii kesi, shahidi kutojitokeza mahakamani kunaweza fanya sabaya kuachiwa huru
Haya bana mmeshindaNimesubiri hadi nimechoka sasa. Yako wapi yale magoli eti? 😂😂😂
Yamekuwa hayo tena?Maiti kafufuka kang'ang'ania mkono wa muoshaji,Yanga ni maiti tu hata wakishinda.
Tuandamane 😂Kwa nini wanaruhusu mpira kuchezwa usiku!!??
Acheni kelelemikia nyie kelele nyongi tarehe 3 si ndo leo mmeishahamia tarehe 25....mnampira wa kawaida sana acheni ujuaji na kuingia na matokeo uwanjaniUto msichekelee sana kagoli cha mganga, tar 25 tukutane tena ASFC patakuwepo na kombe siku hiyo
Gundu tena Bob? Kwani si tulikubaliana tuna kikosi kipana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Gundu lilianza baada ya Rais kuja uwanjani..Simba tuna gundu Sana na hiki cheo