FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Uzi ufungwe tuendelee na mambo mengine! Ikiwapendeza hao wafungaji, waufungue tena siku hawa wakubwa watakapokutana kule Kigoma!
 
kilasiku mnasogeza siku mbele majuzi tu mlikuwa mnasema tusubiri tarehe 3 leo tena mnaanza tusubiri kigoma hahahaha mkubali mpira sio makelele.....na mkubali mnateem ya kawaida sana na wala hamna maajabu yoyote.
Hata siku ile mlipotufunga moja tuliwavumilia kauli zenu kama hizi lakini tulipo wachapa 4 tulikua tumewapiga SOLEX mdomoni
 
Wewe siyo mzima, leo umeshindwa Kigoma mtafanya kipi,? tuliwaambia Simba hakuna timu mkawa mnabisha, mara oohh kwa Mkapa hatoki mtu, sasa Yanga wametoboa tundu.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Utasemaje hakuna timu na kombe tunachukua na robo tumefika?

Nyie tulieni sisi tukianza hua tunaaanzia 4 na kuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…