FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Aliyekimbia tarehe 8 amefungwa Leo na ameacha kelele rasmi

Marehemu alikuwa na mdomo Sana na mkumbusheni tu apande treni mapema tukamkute Kigoma mwisho wa reli tufanye yetu

#Sisiniyoungafrcans[emoji617]
 
Utasemaje hakuna timu na kombe tunachukua na robo tumefika?

Nyie tulieni sisi tukianza hua tunaaanzia 4 na kuendelea
Yale maduka ya kuuza mechi tulishayaondoa yote, Kigoma huko ndio tunaenda na "mfumo" wa JKT Ruvu - "papasa square"

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
"Tumefungwa kwa sababu alikuwepo mh rais "pumbavu kwa akili hizi ndio mliaminishana mtacheza fainali ya kilabu bingwa? alisikika mlevi mmoja akisema.
 
Mikia FC hivi mara ya mwisho kushinda mechi ya league ilikuwa mwaka gani aisee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…