FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Olaaaaaaa [emoji39][emoji39] Mwananchi nikamatie Rasilimali ya Taifa, nirudishie mbugani watalii waendelee kuburudika [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Simba ina wachezaji wengi bora kuliko yanga, lakini yanga ina wachezaji wenye uwezo wa kucheza kimbinu kukabiliana na ubora wa simba.
Endapo simba wataingia na kucheza mfumo waliozoea ni rahisi kupoteza mechi.
Endapo simba wataingia na mbinu mpya kabisa tofauti walivyozoeleka, yanga watapoteza mechi tena kwa goli nyingi.
 
Mganga kutoka wapi weweeee
Simba awe na kikosi chote cha Real Madrid lakini kitendo cha kujiita simba tu, kinamponza.
 
Na hizi kauli zao eti ubingwa wanauchukulia kwetu tuwaambie tu wasahau.

Wakikaza saana point 1.
Nilikuwa najiuliza mwanzo mwa uzi wapi dd Shadeeya ila leo huchomoki mm naweka ahadi mkitufunga naenda oga uchi bafun weka ya kwako na wewe.
 
Utopolo ni timu ya Yanga,majina mengine ya Yanga ni Manyani f.c,Kidimbwi f.c,Midole f.c,Malalamiko f.c,Bakuli f.c n,k.
Kama utanivesha buti la Jeje hamna noma ilo ni buti analovaa Kamanda Simba Mnyama akimfataga pisi yake pale Jangwani.
 
Ni hii mvua kwa mkapa inatoka wapi Tena??

Ni ya Simba au yanga
 
Dk 60 Simba 0 Yanga 1 Fei Toto
Dk 73 Simba1 Yanga 1 Kagere
Dk 88 Simba 2 Yanga 1 Chama
Dk 90+2 Simba 3 Yanga 1 Tshabalala.
 
Nilikuwa najiuliza mwanzo mwa uzi wapi dd Shadeeya ila leo huchomoki mm naweka ahadi mkitufunga naenda oga uchi bafun weka ya kwako na wewe.
Huu upande wa ahadi huwa tunawaachia nyie Mdogo wangu.

Mana kuvua nguo, kutembea chiu ndo zenu. 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…