FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Hapana Dada Mimi siyo Mwananchi.. Ha ha ha..

Nimeshindwa hata kukutakia kila la kheri..
Maana leo hali si hali Dada..
Ila ngoja tuone mwisho wa mchezo..
Hahahaaa!! Sio mbaya mdogo wangu.

Na kweli tusubiri tuone mwisho wa mchezo itakuwaje.

Hivyo uelekeo uwanjani? 😉😉
 
Olaaaaaaa [emoji39][emoji39] Mwananchi nikamatie Rasilimali ya Taifa, nirudishie mbugani watalii waendelee kuburudika [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hayo maneno utayakimbia Leo jioni baada ya kupakatwa vere vere weli !
😂😂😂😂
 
Mashabiiki wa Utopolo baada ya kipigo kitakatifu.
FB_IMG_1625214394973.jpg
 
Back
Top Bottom