FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Uto wanatafuta sababu ya kuahirishwa mechiView attachment 1838727
Tunawafaulisha kwenye Kimbinyiko leo akimbii mtu.
images.jpg
 
Mukitufunga sisi ndio mutakua timu kubwa kwa mara ya kwanza, lasivyo mutabaki kua timu ya kubahatisha ndulute iliyo mgongoni mwa TFF.
 
Usikimbie hapa wewe Utopolo kama anavyokimbiaga mwenzio Okwaaa
Utopolo ndio kikolokolo gani hicho? acha ujinga kwanza.
Nikimbie nini?

Babu umesahau nilicho kufanya mechi ya mwisho iliyo tukutanisha!

Mbona mikia munajiamini sana!
Hivi munachukulia Wananchi ni tawi lenu kama ilivyo Azam?

Bro leo nakuvesha jeje[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom