Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Msikimbie tu mkae hapa hapa hadi mpira uisheSisi ndio wananchii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msikimbie tu mkae hapa hapa hadi mpira uisheSisi ndio wananchii
Naku zoom tuOngeeni sasa. 🤣🤣🤣🤣
Ndio ongea sasa zile maneno zako Mtani.Naku zoom tu
🤣🤣🤣🤣 Umekuja eeh Sasa ukae hapo happy kwa kutulia kabisaaHapo mganga ajiandae kupokea lawama kila kona. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Pole Pacha.My God!😢
Nipo mda mrefu mbona. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Umekuja eeh Sasa ukae hapo happy kwa kutulia kabisaa
Kwann hawatoamini wakati wameshinda na magoli yameonekana?Simba itashinda hii mechi watu hawata amini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]Aisee Simba wanafeli wapi Leo?
We gon seeHapo mganga ajiandae kupokea lawama kila kona. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mpira unachezwa uwanjani jamani. 🤣🤣🤣🤣
Pole Pacha.
Tulia kwanza we utanielewa baada ya dakika 90 kumalizikaKwann hawatoamini wakati wameshinda na magoli yameonekana?
Hakika muda bado pacha.Muda bado lakini asante pacha
Hii mechi tunashinda 3-1