FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba hawali tena nyama za pori wanakunywa mo energy nguvu watoe wapi
 
Simba wa siku hizi sio kutoka porini hadi kuja mjini kula vitumbua na kuomba wavushwe kwenye zebra cross sio kabisa
 
Kitchenparty temeke, Ndoa itafungiwa kigoma waalikwa wote mnakaribishwa
 
Kunguni kumnyea mtu sio shabaha
Mwaka wa pili hamjawahi kutufunga kwenye vpl sana sana uwa mnaishia kushangilia droo kama mlivyokua mnaombea hii leo,vibonde wetu jan tuliwafunga kule zenj mkasema ilikua mikia b,leo tumewapiga mkiwa kamili pambavu
 
Ila baba mkwe ana domo sana, siku ya harusi napiga bao mbili mbele yake liwalo na liwe
 
Wala usichukie ndio walivo si unaona msemaji wao anavotukana waandishi kila siku
Yule ndio anayewaaminisha ujinga kiasi wakifungwa wanakua vituko,jamaa leo hapa jf anatukana kila mtu huko mtaani sijui yuko kwenye hali gani!
 
Back
Top Bottom