MaviKifupi mtani umeshalikosa la NBC ligue pambana uko CAFCL uchukue kombe la uko
Nasema hivi....mkitonoa leo pale rhades. Tuma namba yako pm nikutumia 15k.Nakwambia dawa yako inachemka...
Mgunda kivuli tu pale matola ndo head coach wa simba kumuanzisha kanoute mkude na mzamiru zile ni tactics za matola sio mgunda naamini hvyo.Sakho hakustahili kucheza mpaka dk ya mwisho, Mgunda sijui kwa nini kamwacha.
Cha ajabu wanafurahia eti. Hahahaaa.wakimataifa wamechonga Drooo
Yanga inatoboa.. hiyo pesa bora ukatoe sadakaNasema hivi....mkitonoa leo pale rhades. Tuma namba yako pm nikutumia 15k.
kwani huwa mnakubali nyie mwisho utasikia kombe lebyewe bayaaaUbingwa bado upo kwa Lunyasi mbona ipo waziii
Umakini mdogo Sana kwenye nafasi tunazopata. kama na kwenye cuf tutaenda hivi ,kupata nafasi 10 moja ndo ufunge tu-low expectations tu.Confirmed Simba hawezi kuwa Bingwa mwaka huu kama hatakuwa na mikakati ya ziada wanapocheza viwanja nje ya Mkapa. Poor performance leo. Umakini mdogo na walicheza utadhani walihitaji sare tu.
🤣🤣🤣 Besty unajifurahisha tuu lakini nyie ubingwa wa hapa nbc hamna. Kazeni tako tuu huko cafUbingwa bado upo kwa Lunyasi mbona ipo waziii
Ila wakitonoa [emoji1787]Nasema hivi....mkitonoa leo pale rhades. Tuma namba yako pm nikutumia 15k.
Hakuna simba ilipopaniwa simba haina wachezaji wazuri ina vituko tu sakho ni comedyNimependa professionalism ya wachezaji wa zamani wa simba wamecheza kama hawakuwahi kucheza simba kipindi cha nyuma medie kagere na ndemla wamekiwasha leo sio wale kina mateo Antony na Vincent chikupe walivyocheza walipokutana na yanga mpaka wakatoa asist ya goli ngoja tuone mechi ya yanga kama singida watapania kama leo.
Hawawa wachezaji kabisaConfirmed Simba hawezi kuwa Bingwa mwaka huu kama hatakuwa na mikakati ya ziada wanapocheza viwanja nje ya Mkapa. Poor performance leo. Umakini mdogo na walicheza utadhani walihitaji sare tu.
Na wewe nae uje pm nikupe 15k baadae. Ile atmosphere tuu ya rhades tayari wala mihongo watakuwa wanatetema.Yanga inatoboa.. hiyo pesa bora ukatoe sadaka