FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Nimependa professionalism ya wachezaji wa zamani wa simba wamecheza kama hawakuwahi kucheza simba kipindi cha nyuma medie kagere na ndemla wamekiwasha leo sio wale kina mateo Antony na Vincent chikupe walivyocheza walipokutana na yanga mpaka wakatoa asist ya goli ngoja tuone mechi ya yanga kama singida watapania kama leo.
 
Chura leo atameza albino mshangae,mi NASUBIRIA tabia za uwanjani.
 
Sakho hakustahili kucheza mpaka dk ya mwisho, Mgunda sijui kwa nini kamwacha.
Mgunda kivuli tu pale matola ndo head coach wa simba kumuanzisha kanoute mkude na mzamiru zile ni tactics za matola sio mgunda naamini hvyo.
 
Confirmed Simba hawezi kuwa Bingwa mwaka huu kama hatakuwa na mikakati ya ziada wanapocheza viwanja nje ya Mkapa. Poor performance leo. Umakini mdogo na walicheza utadhani walihitaji sare tu.
Umakini mdogo Sana kwenye nafasi tunazopata. kama na kwenye cuf tutaenda hivi ,kupata nafasi 10 moja ndo ufunge tu-low expectations tu.
 
Nimependa professionalism ya wachezaji wa zamani wa simba wamecheza kama hawakuwahi kucheza simba kipindi cha nyuma medie kagere na ndemla wamekiwasha leo sio wale kina mateo Antony na Vincent chikupe walivyocheza walipokutana na yanga mpaka wakatoa asist ya goli ngoja tuone mechi ya yanga kama singida watapania kama leo.
Hakuna simba ilipopaniwa simba haina wachezaji wazuri ina vituko tu sakho ni comedy
 
Nyie mnaoshangaa drooo ya moya kwa moya mbona ndo ushindi wenu huoo hapo utopoloni? Yani nyie nyingi kwenu ni droo na mkifunga basi ushindi mwembambaaa
 
Confirmed Simba hawezi kuwa Bingwa mwaka huu kama hatakuwa na mikakati ya ziada wanapocheza viwanja nje ya Mkapa. Poor performance leo. Umakini mdogo na walicheza utadhani walihitaji sare tu.
Hawawa wachezaji kabisa
 
Back
Top Bottom