pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Nimependa professionalism ya wachezaji wa zamani wa simba wamecheza kama hawakuwahi kucheza simba kipindi cha nyuma medie kagere na ndemla wamekiwasha leo sio wale kina mateo Antony na Vincent chikupe walivyocheza walipokutana na yanga mpaka wakatoa asist ya goli ngoja tuone mechi ya yanga kama singida watapania kama leo.