FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Yote ni sawa
 
Hii pitch namashaka nayo

Nahisi kuna namna inayoa pasi na mfumo huu unajuliwa na wenyeji tu
Umewaza kama Mimi mkuu.. maana Hawa singida wanapiga pasi vizuri kabisa ila sisi mipira yetu lazima idunde Dunde na kupoteza muelekeo
 
Ni free Kick kuelekea Singida Big Stars, inapigwa kulee lakini wanaokoa
 
hadi kinakubalika na bodi maana yake kimekidhi vigezo

sema wachezaji wa simba uwezo mdg mnoooo
Hadi fha Manungu kumbuka kilikubaliwa lakini hali ya uwanja yenyewe siku ya mwisho ilikuwa hairidhishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…