kissambivi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 218
- 119
Wapigwetu maana safari Yao ya mwisho hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UpdatesHuu ni wakati wa vyura kushangilia goli [emoji23][emoji23]
Mbwembwe tu.Nimeona Simba wameongeza VISIT ZANZIBAR
Singida ndio huko huko Mlima Hanang kwenye topeMnyaturu,wanyaturu kwetu singida
Upo sahihi! Simba mchezo wao huwa haunifurahishi utafikiri ni watoto wanacheza very slow hawa jamaa very boring game ukiwaangalia.SSC wana slow game
Na hawana ile fight game mguu kwa mguu
So ikikutana timu km Yanga inayokimbia dakika 90
Ni balaaa wanachoka na kupoteana ndio maana Yanga tunawafunga hawa mapema snaa
Wao ni slow game na wamezoeshana uvivu
Hata kwenye kukaba wanasindika
Mpira wa kukimbizana dakika 90 mbio mbio non stop hawwezi
Kwa hio waibandue hio VISIT ZANZIBARMbwembwe tu.
Hii michuano mwisho wake Jambiani hapo.
Dakika ya ngapi?Refaaaaaaaaaa maliza mpira
NakaziaLabani og ni kajamaa kaoga mnoo huwezi muona kwny uzi wao wa vyura wa live...ila humu kama katiwa ndimu...
Kaogaaa....utakaona kwny uzi wa Simba ikifungwa...Utopwinyox
haina maana yoyote.Kwa hio waibandue hio VISIT ZANZIBAR
Kaka kumbe hunaga baya