FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Updates

Kolo 0 .......1 singida el de wananchi

Slogan ... hatumtaki benchika na mangungu

Kumbuka Simba wameingiza kikosi full mkoko
 
Kennedy aache kupiga pasi fupi nyuma. Atachoma kibanda cha pili, mechi ngumu hii.
 
Updates

Kolo 0 .......1 singida el de wananchi

Slogan ... hatumtaki benchika na mangungu
 
Sasa huyu Saidoo kila sehemu anataka awepo? Majukumu yake anamuachia nani?

Badala ya kupeleka mashambulizi amekuwa ni mtu wa kuzurura na kupoteza mipira, hapaswi kurudi kipindi cha pili.
Anataka amthibitihsie kocha kua hajazeeka
 
Updates

Kolo 0 .......1 singida el de wananchi

Slogan ... hatumtaki benchika na mangungu
 
Unaambiwa kocha wa Singida analalamika wachezaji wake wanakimbiakimbia uwanjani hawapati matokeo 😂
 
Hii mechi Simba asipoangalia anakuja nyingi, inanipa taswira za mechi na Utopolo maana beki si kwa kukatika huku. Halafu how comes kuna viungo watatu lakini dimba la kati linatawaliwa na SFG!
Viungo wote watatu Wana asili ya kukaba na kukaba yenyewe si wakabaji wazuri pia
 
Back
Top Bottom