FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Punguzeni ujuaji, hakuna anayejua hapa kumzidi Benchikha.
Maneno meeeengi hata leseni za kukalia benchi la ufundi tu hamna.
 
Sasa huyu Saidoo kila sehemu anataka awepo? Majukumu yake anamuachia nani?

Badala ya kupeleka mashambulizi amekuwa ni mtu wa kuzurura na kupoteza mipira, hapaswi kurudi kipindi cha pili.
Ni swala la muda tu
 
Updates

Kolo 0 .......1 singida el de wananchi

Slogan ... hatumtaki benchika na mangungu

Sisi ni people....tutaonana[emoji23][emoji23]
 
Kennedy juma, Ntibazonkinza waondoshwe Simba hawana msaada wowote! Bareke akae benchi ajitafute kwanza.
Simba isajili mshambuliaji mmoja wa kati anaelijua goli, bado hatuna timu yenye kuleta matokeo,magoli ya Simba bado ni ya kubahatisha sana, tukikutana na utopolo inaweza ikatupata aibu nyingine, viongozi wawe serious na usajili
 
Back
Top Bottom