FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

Hii mechi Simba asipoangalia anakuja nyingi, inanipa taswira za mechi na Utopolo maana beki si kwa kukatika huku. Halafu how comes kuna viungo watatu lakini dimba la kati linatawaliwa na SFG!
 
Haya ndio mambo ya uswahili nisiyoyaelewa

Unakataza vipi mchezaji asicheze dhidi yako eti kisa tu umemtoa kwa mkopo?

Na controversial inapokuja ni pale ambapo mechi zilizopita mlipokutana, huyo amecheza bila kizuizi.

Kuna mahala mpira wetu tunaukosea kwasababu hatupati kipimo halisi cha ubora kama wachezaji tunaowaona tishio wanazuiwa
Nani tena kazuiwa huyo?
 
Back
Top Bottom