FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

TUJIKUMBUSHE

Updates

Kolo 0 .......1 singida el de wananchi

Slogan ... hatumtaki benchika na mangungu
 
Upo sahihi! Simba mchezo wao huwa haunifurahishi utafikiri ni watoto wanacheza very slow hawa jamaa very boring game ukiwaangalia.
Huwa hawafatilii game za yanga mwanzo mwenga ni heka heka tu..
Au hawajifunzi timu za ulaya huwa ni heka heka mwanzo mwisho.
Ndo maana sio rahisi wachezaji kama Aziz Ki, Au akina Pacome kucheza simba sababu mfumo wa slow kwao huwa haupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…